Sunday, September 16, 2012

UTAMSAIDIAJE??

MGONJWA: dokta naomba unisaidie na tatizo la kusahau hata ukinambia kitu muda huo Huo nasahau.

DAKTARI: Kwan hilo tatizo 

limekuanza Lini?

MGONJWA:Tatizo gani?



No comments:

Post a Comment