Wakati anaisoma akahisi uchungu na kuanza kutokwa na machozi.Mume wake alipomuona
akamuuliza;
MUME:"Hio sms ya nini?"
MKE:"Ni ya jinsi ya kupika pilau tu...nimetumiwa na dadangu."
MUME:"Mbona wa lia basi?"
MKE:"Jamani si nimefika sehemu ya kukata kitunguu!"
No comments:
Post a Comment