Sunday, September 16, 2012

MAZUZU

Mwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu kama yeye, lakini mwishowe uhusiano ulivunjika.

sasa huyo jamaa alikuwa akimsumbua sana kumpigia na kumtumia sms na  yule mwanamke kwa simu kila siku, mpaka huyu mwanamke akawa anachukia,mwisho akaamua abadilishe laini, alipotia laini ile mpya tu akamtumia sms yule jamaa kwa kumwambia 

"sasa nishabadilisha namba hutonipata tena hasidi wewe"

nae yule jamaa zuzu akamjibu 





"nitahakikisha naitafuta hio namba yako mpya, hata chini ya ardhi mpaka niipate."



No comments:

Post a Comment