Friday, September 7, 2012

MZEE WA CHABO

MZEE wa Chabo kama kawaida yake baada ya kazi alijirejesha nyumbani majira ya usiku, kupitia uchochoroni kabla ya kufika nyumbani kwake. Siku hiyo kila kona ilikuwa ngumu. Akiwa 
amekata tamaa alipita nje ya nyumba moja ya wageni na kusikia sauti za kimahaba na mlio wa kitanda kuonesha ndani kunachimbika bila jembe. 





Kwa vile dirisha lilikuwa juu kidogo ilibidi arudi umbali kidogo na kufanikiwa kupata kipande cha tofali. Alirudi Nacho na kukiweka chini ya dirisha na kufanikiwa kuona ndani lakini alikuta ndiyo mchezo umekwenda mapumziko. 



Lakini mwanamke alikuwa akimlalamikia mwanaume: 



“Kwa hali hii mi siendelei tena.” 



“Kwa nini mpenzi?” 





“Vitanda gani kelele mtindo mmoja hata raha ya mapenzi hakuna.” 



“Basi tumalizie siku nyingine tutatafuta gesti nzuri.” 



“Nimesema hivi kama kitanda ni hiki chenye kelele utanisamehe kila mpita njia anajua tunafanya nini.” 



“Kwa hiyo?” 





“Tukatafute gesti nyingine bila hivyo nitarudi nyumbani.” 



“Poa basi twende ile ya jirani.” 



Kwa vile gesti waliyoisema ilikuwa na ulinzi mkali, Mzee wa Chabo aliona kabisa imekula kwake ilibidi atoe 
...ushauri kwa sauti 




''wekeni godoro chini halipigi kelele''



No comments:

Post a Comment