Thursday, May 10, 2012

UNGEFANYAJE....????

Jamaa kapanda daladala siti ya mbele ghafla mkewe kampgia cmu wakat wanaanza kuongea2,cmu yake ikakata chaji 


Akaamua kumuomba simu dereva ambipu Mkewe 


Akaandka namba za mkewe 


Ile kubIpu tu likatokea jina limeseviwa "malaya wangu"


Kama ni wewe ungefanya nini?

No comments:

Post a Comment