HII NDIO LUGHA YA MZAZI KWA MWANAE ALIEFAULU
BABA; Baba,baba, unaamka sasa hivi au unalala lala kidogo
MTOTO; Hapana baba nimechoka ntaamka saa 5 hivi jana nilichelewa kulala nilikua naangalia Merlin
BABA; Haya baba bac kuna elfu 30 nimemuachia mamaako km utajiskia kutoka utaitumia km nauli
MTOTO; Baba c uniachie zile funguo za rav4!!
BABA; Haina tatizo utaenda kuchukua pale chumbani kwangu ucpoziona mwambie mamaako akupe,halafu sidhani kama hiyo pesa itakutosha kwa ajili ya mafuta upitie pale ofisini nikuongeze pesa.
SASA HII NDIO LUGHA KWA WALE WA 4 NA 0
SAA 12 asubuhi
BABA:We nguruwe umelala tuu mpaka saa hizi ivi unajua bei ya hilo godoro, kazi kupata maziro tuu kwa kulala lala lione,ebu amka unioshee gari niende kazini na baadae uchome zile takataka kule shimoni na ulichimbe shimo upya.
Elimu iko I.C.U. na Dr K anakunywa valuuuu
hajali yaliotokea anatabasam tuu km...........
No comments:
Post a Comment