Friday, February 22, 2013

KING'AMUZI

Mke wa fundi ving'amuzi alikuwa kapelekwa Mwananyamala Hospital tayari kujifungua. 

Na hatimae akajifungua na akamtext mume wake mpenzi,

' King'amuzi kipya tayari'. 

Fundi akaruka juu kwa furaha ya kujua mkewe kisha jifungua, naye akamjibu kwa txt,

'Hongera mke wangu mpenzi, Vipi kina antena au?"

No comments:

Post a Comment