Thursday, February 21, 2013

DUKA LINGINE

Jamaa flani mswahili kafungua duka, akamwambia rafikie,

"Niletee mtu wa kunisaidia kazi."


Akamletea msichana, jamaa akakataa!


Alipomuuliza, "kwanini umekataa?" 


Jamaa akajibu,

"Nimekuambia uniletee mtu wa kunisaidia kazi unaniletea duka lingineee!???


No comments:

Post a Comment