Jamani kuna watu wapo ulimwengu wa peke yao, embu msikie huyu alikua anafundishwa MS WORD,
si aka type maneno halafu yakaanza kuonyesha mstari mwekundu - kwakuwa aliandika ya kiswahili.
Akauliza kwanini,
nikamuambia kompyuta inatambua kuwa hayo sio maneno sahihi ya kiingereza.
Akasema:
" Duh, Mzungu kweli kiboko, yaani yeye yupo huko Ulaya, ila anajua kwamba mie hapa nakosea"
No comments:
Post a Comment