Kuna msela flani alivuta Bangi then akaenda buchani.
Ghafla tu...paka akaingia na akaanza kulia
Ghafla tu...paka akaingia na akaanza kulia
"nyaauuuuuuuuu nyauuuuuuu!"
Msela akamwambia muuza nyama
“huyu paka anataka robo kilo ya maini”
paka akapewa nakula yote.
Kisha akaanza tena "nyaauuuuuuu nyaaaaaaauuuuuuuuuuuu"
Msela akamwambia muuza nyama :
Kisha akaanza tena "nyaauuuuuuu nyaaaaaaauuuuuuuuuuuu"
Msela akamwambia muuza nyama :
”sasa anataka robo kilo ya nyama”
paka akapewa nakula yote, kisha huyo msela
akaanza kutoka na kuenda zake.
Mwenye bucha akamwambia huyo msela (mvuta bangi)
Mwenye bucha akamwambia huyo msela (mvuta bangi)
“sasa lipa pesa ya robo kilo ya maini na ya
nyama aliyokula paka”
Mvuta bangi akajibu
Mvuta bangi akajibu
“mie yananihusu nini? nilikuwa
na TAFSIRI tu”
No comments:
Post a Comment