Monday, February 18, 2013

NDIO MWANAO

BABA: Mwanangu, mtihani uliofanya zamu hii natumai utapata marks nzuri.

MTOTO: Yani baba nitapata zote; mia kwa mia!

BABA: Kwanini unasema hivyo?

MTOTO: Jana kanisani tuliambiwa 'Yesu ni jibu'...majibu yote nimejaza Yesu.


No comments:

Post a Comment