Jamaa flani kavunjika miguu yote, baada ya kufikishwa hospitalini mambo yakawa hivi:
DOKTA: "Pole sana, baada ya kukupima kuna mambo mawili, moja la kuhuzunisha na la pili la furaha.
MGONJWA: "Mmmmh...anza na la huzuni."
DOKTA: "Inabidi ukatwe miguu yoteee!"
JAMAA AKAANGUA KILIO SANAAA!!...Alipotulia
MGONJWA: "Na hilo la kufurahisha?"
DOKTA: "Aaaah, ni kwamba kuna jamaa anataka kununua viatu vyakoooo...."
No comments:
Post a Comment