Mwalimu: Gwalu kwanini umekopi majibu ya mwenzio?
Denti: Mi sijakopi mwalimu
Mwalimu: Swali la kwanza amejibu Hapana na wewe umejibu hapana,la pili kaacha na wewe umeaacha, la tatu amejibu ndio na wewe umejibu ndio.
Denti: Sasa mwalimu tatizo li wapi
Mwalimu: Swali la nne amejibu sijui, wewe umejibu' NA MIMI PIA SIJUI'
No comments:
Post a Comment