Monday, May 7, 2012
MASWALI YA KIZUSHI MAJIBU YAKE NI HAYA....
Majibu yanawafaa haya hawa watu wenye maswali ya kuboa....!!
1...Anaona umelala kabisa then anauliza "umelala saiv?"
jibu: nafanya mazoez ya kufa
2...Anapiga simu ya mezani home then anauliza "uko wapi?"
jibu: nipo msikitini
3...Una mpelekea Galfriend zawadi ya maua then anauliza "hayo ni maua?"
jibu: HAPANA ni michicha
4...Upo toilet na mlango umefunga then anakuja kugonga mlango huku ana uliza "kuna mtu?"
jibu: hakuna...unaongea na m*vi
5...Upo kwenye jumba la sinema una nunua tiketi then anauliza "una nunua tiketi ya sinema?"
jibu: nalipa ada ya shule..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment