Tuesday, October 30, 2012

VIOJA VYA DENTI

Mwanafunzi mmoja alichelewa kufika shule:

Mwalimu:"Kwanini umechelewa?"

Mwanafunzi:"Kuna mzee alipoteza elfu moja njiani."


Mwalimu:"Kwa hio ulikuwa unamsaidia kutafuta ?"

Mwanafunzi:"Hapana,nilikuwa nimeikanyaga...nasubiri aondoke niiokote!"



No comments:

Post a Comment