Friday, May 4, 2012

HUU MTEGO NI NOMA......



Namba ngeni zilikua ikimpigia huyu demu, then ikaanza kumwambia...


NAMBA NGENI ; hallo! mrembo!...una boyfriend?!

GIRL ; yap ninae kwani we ni nani?! 



NAMBA NGENI ; mi ni baba yako kumbe una boyfriend eeehh!! nikirudi hom utaeleza 




Sasa..baada ya dakika mbili cmu ikaita tena kwa yule dem



NAMBA NGENI ; hallo mambo!....una boyfrend?!


GIRL ; sina kwani ni nani?!


NAMBA NGENI ; haaaaa mi ni boy frend wako...ina maana umenisaliti?!


GIRL ; no no no baby sorry nilidhani ni baba yangu ndo maana nikasema hivyo


NAMBA NGENI; Mimi ni baba yako nilitaka tu kuhakikisha, kumbe kweli ! Utanikoma 



nikirudi.

No comments:

Post a Comment