Jamaa mmoja alitulia beach mara akapita mzungu akamuuliza
"R U RELAX"
jamaa hajui k2 akajibu
"NO"
akapita mwingneakamuuliza vilevile jamaaakajibu
"NO AM ALEX"....
Akaamua kusogea mbele akamkuta mzungu Ame2lia akamuuLIZA
"R U RELAX"
mzungu akajibu
"YEAH!"
Jamaa akampiga bonge la bao akamwambia
"ebo!!! Wananiangaisha mie TU kumbe we ndo relax
umejificha huku nenda uko wenzio wanakutafuta.”
No comments:
Post a Comment