Friday, November 30, 2012

KANDAMBILI ZINAUZWA

Kuna wanadoa wawili walienda kufanya Honey Moon yao mkoani Sumbawanga , siku moja walikuwa wanapita pitaa Kitaa ,hukuu wakiangaliaa angalii baadhii ya Bidhaa zilizo kuwepo mtaa huoo ...

Mara wakasikia Sauti ya Kijana mmoja hiii, sautii hiyoo ilikuwa inatokaa katika Duka mojaa hivii lililo andikwa kwa juu "KWA MGANGA SHOP " wakasogea karibu na Duka hiloo ...


Jamaa akatoka njee ili aje kuwahudumiaa " manaonekana nyie ni wageni mitaa hiii , karibuni dukani kwangu Bwanaa "

Nina Kandambili za Maajabu ambazo nafikili utazipenda , zinakufanya unakuwa na nguvu za kiume na piaa kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoaa , waweza Fanya Mapenzi kama Ngamia wale wa Jangwani "

Mwanamke alikuwa na Hamu ya kuzi nunua baada ya kusikia Sifa ya Hizo Kandambili , lakini Mwanaume alihisi haziitaji Hizoo Kandambili .

Mume Akamuuliza Jamaa " hivii kweli Pair ya Kandambili yawezaje kuongeza Hamu ya Kufanya Mapenzi na Nguvu za Kiume ? nahisii tunaibiwa hapaa uzushii mtupu "

Jamaa jamaa akazivuta toka juu ya Meza na kumpatia Kisha akamwambia ... " ebana wewe hebu zijaribisheee tuonee "
MUME baada ya majibizano na Mkewe kwa Muda kidogo akakubali kuzijaribishaa, baada ya kuzii vaa tuhh Machoo Yakee yakaaanza kuoneshaa halii mbayaa Kama Mtu mwenye Ugwaduu wa Miakaa Kadhaa hiviii , kitu ambacho Mkewe Hajakiona kwa mUda Sanaa toka kwa Jamaa , ilikuwaa Hamu ya Kufanya Mapenzii....hiyoo

Baada ya Sekundee Kadhaaa Heee Huyoo MUMEWE Akamkamata yule kijana muuza Duka na Kumuinamishaa kwenye ile Meza , akamvuaa Nguoo na kisha kutoaa Chupi Yakee na Yeye Kuvuuuaaaa za Kwakee Hapoo Hapoo , kishaa akakamatiliaaa kiunoo Cha Muuzaa Dukaaa .....

Muuzaa Dukaaa alisikikaaa Akiliaaaaaa Kwa Sautiiiiii

" PUMBAVUUUUUUUUUUUUU UMEZIGEUZAAAA YAKULIAAA UMEVAAA KUSHOTOOOOOOOOOO "



No comments:

Post a Comment