Wednesday, March 20, 2013

ACHA BANGI

MVUTA bangi alikwenda kwa daktari na kumwambia.


“Mara nyingi huwa nazungumza na watu,lakini cha kushangaza watu hao huwa siwaoni, utanisaidiaje daktari?”



Daktari: “Ni wakati gani huwa inakujia hali kama hiyo?”



Mvuta bangi:


 “Mara nyingi pale ninapoongea nao kwa simu.”

No comments:

Post a Comment