Friday, September 7, 2012

MATEJA VIMEO

Mateja wawili walikuwa wamekaa sehemu mara ndege ikapita angani.

Teja wa1 akasema: '' hiyo ndege itakuwa imembeba Rais''

Teja wa2 akasema: 


''hapana itakuwa imebeba wazungu tu, kama ingekuwa imembeba Rais ungeona pikipiki kwa mbele na ving'ora vikilia''

No comments:

Post a Comment