Tuesday, September 11, 2012

MCHONGA VINYAGO

Mmakonde aliulizwa na mteja: 

mbona vinyago vyako vizur halafu watoto wako wabaya kiac hiki??!! 

Mmakonde akajibu vinyago nachonga Nchana kweupee

Watoto nachonga Uchiku na Nke wangu kenye Gija totolo...Watakocha kuwa wabaya???


No comments:

Post a Comment