Sunday, September 9, 2012

WIZI MTUPU

Mwanamke flani alipata sms kutoka kwa mpenzi wake wa kando ikisema kuwa anataka uhusiano wao uishe.

Wakati anaisoma akahisi uchungu na kuanza kutokwa na machozi.Mume wake alipomuona 

akamuuliza;



MUME:"Hio sms ya nini?"



MKE:"Ni ya jinsi ya kupika pilau tu...nimetumiwa na dadangu."



MUME:"Mbona wa lia basi?"



MKE:"Jamani si nimefika sehemu ya kukata kitunguu!"



No comments:

Post a Comment