Monday, May 28, 2012

MASWALI YA KIJINGA NA MAJIBU YAKE....

maswali ya kijinga majibu ya kipuuzi

1. SWALI:"Ni mvua inanyeshe?"


JIBU:"Hapana ni supu yamwagika"


2. SWALI:"Hiyo gazeti ni ya leo?"


JIBU:"Hapana ni gazeti yangu!"


3. MWALIMU MKUU:"Umemuona school captain?"


MWANAFUNZI:"Sikuwa namtafuta!"


4.SWALI:"Unakula?"


JIBU:"Hapana nabusu kijiko"


 5.SWALI:"Unangojea lift uende juu?"


JIBU:"Hapana nangojea ofisi ishuke chini"


6.SWALI:"We ndio wa mwisho kwenye line?"


JIBU:"Hapana mi ndio wa kwanza tumesimama kinyumenyume"


7.SWALI:"Umeamkaje?"


JIBU:"Kwakufungua macho na kutoka kitandani na miguu yangu miwili!"


8.(Mama anauliza mtoto)
SWALI:"Wataka kulia enh?" (jirani wake kamjibu)

JIBU:"Labda amechoka na kushoto"


No comments:

Post a Comment