Wednesday, May 23, 2012

UJINGA NI KUFANYA YAFUATAYO


Kutooga kifua kwa madai huko na roho safi


kununua sumu ya kujiua kisha ukadai chenji


Kumwagia mmimea bia ya tusker kwa madai ya kurefresh their root


Kuvaa sura ya kazi huku huko jobless


Kufungua kiosk kandokando ya supa market



No comments:

Post a Comment