Wednesday, May 16, 2012

Administration Block

Hii imetokea leo hii imemkuta rafiki yangu aka MY FELLOW COLOR


.....basi leo nimeenda ardhi university. Sasa nataka kwenda administration sipajui ni wapi, kwaio pale getini nikaamua nimuulize mlinzi wa getini pale:

Kai: " samahani kaka, eti administration ni wapi?"


Kaka akaaaaaangAliiiiia kushoto kulia, kafikirrrrrriaaaaa, halafu akanijibu


" dah!!! Dada yani hata mi mwenyewe sijui maana mimi bado mgeni, hebu nenda apo utawala hapo ukaulizie"


Nilibaki mdomo wazi.


No comments:

Post a Comment