Monday, May 14, 2012

HERI YAKE......







Baada ya MAHUBIRI

MCHUNGAJI anawaambia waumini wafumbe macho.....



akainama na kuingiza mkono kwenye kapu la sadaka na kuiba ela....


kuinua kichwa akakutana macho kwa macho na mzee aliyekuwa anaingia......


MCHUNGAJI AKASEMA 


"HERI YAKE YULE ASIYESEMA KUHUSU YALE ALIYOYASHUHUDIA KWA MACHO YAKE"


mzee nae akamalizia 


"MAANA ATAPATA MGAO WAKE BAADA YA MISA KUISHA'

No comments:

Post a Comment