Sunday, May 13, 2012

MLEVI AKIBATIZWA





Mlevi alikua akipita karibu na mto kulikokua na watu wanabatizwa


''Mhubiri alipomuona akamuingiza kwenye maji na kumzamisha...alipomtoa mara ya kwanza akamuuliza ''umemuona yesu??


 Mlevi akasema hapana!! 


Akamzamisha mara ya pili alimtoa akamuuliza tena je sasa umempata Yesu?? 


Mlevi akasema hapana!! 


Akamzamisha mara ya 3 na alipomtoa akamuuliza'' je sasa? 


Mlevi akasema hapana!! 


Kisha mlevi akamuuliza muhubiri


''uko sure kweli aliangukia hapa??!

No comments:

Post a Comment