Monday, May 7, 2012

MASWALI YA KIZUSHI MAJIBU YAKE NI HAYA....



Majibu yanawafaa haya hawa watu wenye maswali ya kuboa....!!



1...Anaona umelala kabisa then anauliza "umelala saiv?"


jibu: nafanya mazoez ya kufa



2...Anapiga simu ya mezani home then anauliza "uko wapi?"


jibu: nipo msikitini


3...Una mpelekea Galfriend zawadi ya maua then anauliza "hayo ni maua?"

jibu: HAPANA ni michicha


4...Upo toilet na mlango umefunga then anakuja kugonga mlango huku ana uliza "kuna mtu?"


jibu: hakuna...unaongea na m*vi


5...Upo kwenye jumba la sinema una nunua tiketi then anauliza "una nunua tiketi ya sinema?"


jibu: nalipa ada ya shule..



No comments:

Post a Comment