Thursday, February 7, 2013

BANGI NI MBAYA


Kuna msela flani alivuta Bangi then akaenda buchani.

Ghafla tu...paka akaingia na akaanza kulia

"nyaauuuuuuuuu  nyauuuuuuu!" 

Msela akamwambia muuza nyama 

“huyu paka anataka robo kilo ya maini”

paka akapewa nakula yote.

Kisha akaanza tena "nyaauuuuuuu nyaaaaaaauuuuuuuuuuuu"

Msela akamwambia muuza nyama :

”sasa anataka robo kilo ya nyama”

paka akapewa nakula yote, kisha huyo msela akaanza kutoka na kuenda zake.

Mwenye bucha akamwambia huyo msela (mvuta bangi)

“sasa lipa pesa ya robo kilo ya maini na ya nyama aliyokula paka”

Mvuta bangi akajibu 

“mie yananihusu nini? nilikuwa na TAFSIRI tu”

No comments:

Post a Comment