Thursday, February 7, 2013

KIPOFU

Mwanadada mmoja ndio alikuwa katoka bafuni kuoga mara akasikia mtu mlangoni anagonga...akachukua towell akajifunga,akaenda kumfungulia mgongaji...Kufungua kumbe ni rafikie kipofu aitwae John.

Dem akampa John kiti akae...alafu akavua towell yake akabaki UCHI.


Akachukua mafuta akaanza kujipaka mapaja na mwili mzima huku akiongea na John...akamuuliza, 

"Vipi John, mbona umepotea hivyo rafiki yangu?"

John akajibu, 


"Nilikuwa China, nilienda kufanyiwa operation ya macho sasa naona vizuri...nimekuja kukualika sherehe niliyoandaa kwa kuona tena."

Unajua kilichofuata hapo..??


No comments:

Post a Comment