Baba alimuandikia barua mwanae aliefungwa jela kwa wizi....
Baba;Mwanangu, mwaka huu ntashindwa kulima viazi kwa kukosa msaada wako.....
Mtoto;Tafadhali ucthubutu kulima hilo shamba baba mana ndipo nilipofukia hela zote nilizoziiba.......!!!!!
Polisi wakaikamata hiyo barua, kesho yake wakaenda wakatifua shamba lote bila kupata hela zozote!!!!!!!!!!!!!
Mtoto akamuandikia baba barua ingine....
Mtoto;Huo ndio msaada pekee nnaoweza kukusaidia baba, sasa unaweza kulima viazi katika shamba lako!!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment