Friday, August 24, 2012

MULEVI TUNGI BWIII

Jamaa mmoja mlevi alikuwa na mazoea ya kurudi home usiku sana, siku moja karudi mishale ya saa tisa usiku akiwa tungi mbaya...

siku moja akarudi akiwa tungi mbaya... baada ya kulala akashikwa na haja ndogo.. akamwamsha mkewe amsindikize chooni... 

mkewe akakataa akamwambie nenda mwenye unaogopa nini na ilihali ni choo cha ndani??

basi mlevi akainuka akaelekea chooni.... aliporudi akamuamsha mkewe na kumwambia

Mlevi: Dear Hivi Leo Umeweka Balbu Automatic Chooni nini???


MKE: Akhaaa Mbona ni Ile ile ya siku zote???


Mlevi: Nooo, haiwezekani, Wakati nafungua Mlango taa Ikawaka..Nilipomaliza Kukojoa Nikafunga Mlango na taa Ikazima... we huoni ni maajabu hayo??


Wife: Ooh shit, hizo pombe na uache Mume wangu Umeshakojoa kwenye Friji.....


No comments:

Post a Comment