KUNA BAADHI YA NJIA NI UTATA..
hasa ukiwa unajaribu kufundisha hesabu....itabidi zibadilike.... mfano ni huu..
Mwalimu: ukiwa na maembe matano (5) halafu mi nikaja nikachukua manne (4), je we utabakiwa na nini??
Mwanafunzi: aisee nitabakiwa na HASIRA SANA....
eeeh kwani kakosa??
No comments:
Post a Comment