Friday, August 17, 2012

NYANI...

Kulikuwa na nyani mmoja ambaye alichoka kuishi, akatafuta njia za kujiua akashindwa. Akaamua aende kumchokoza simba aliyekuwa amepumzika ili aliwe tu. 

Alimchokoza kwa kumchomachoma na vidole sehemu za nyuma. Ghafla Simba akashtuka.

SIMBA: nani huyo anayenichoma na vidole nyuma?


NYANI: Ni mimi nyani.


SIMBA: Kuna mwingine yeyote aliyeona wakati unafanya hivyo?



NYANI: Hakuna.



SIMBA: Basi fanya tena...!






No comments:

Post a Comment