Masanja alikwenda kwenda kwenye hotel ya kifahari watu wote pale hotelini wanaongea kiengereza.
Basi Masanja alipokua kwenye room alimuona panya
Masanja akapiga simu reception asaidiwe ilhali akiwaza panya kwa kizungu anaitwaje.
Unajua kilichotokea...............Baada ya kupiga muhudumu akapokea..
MUHUDUMU: Thank you for calling reception, how can i help u?
MASANJA: Do you know Tom & Jerry?
MUHUDUMU: Yes i know.
MASANJA: Ok, good! Jerry is here.
No comments:
Post a Comment