Tuesday, August 21, 2012

MCHIZI KIMEO...

Pilot flani alikuwa anasafirisha machizi kutoka Milembe.

Chizi mmoja akatoka nyuma akaenda hadi kwa pilot.

CHIZI:"Mi nataka unifundishe kuendesha ndege."

PILOT:"Poa lakini enda kwanza uwaambie wenzako huko nyuma wanyamaze....wana kelele sana."

Chizi akaenda baada ya tym kuka nyamaza,akarudi kwa pilot.

PILOT:"Umewafanyaje hao...mbona wamenyamaza."

CHIZI:"Nimewafungulia mlango nikawaambia wakacheze nje!"



No comments:

Post a Comment