Kati ya wafuatao yupi anajua KUUCHUNA?
1) Juha: Nilimpigia simu mke wangu akapokea hakusema 'hallow! Nami nikauchuna. Sikuongea mpk pesa zote zikaisha simu ikakata!
2) Zoba: Niligonga mlango mke wangu akafungua, lakini hakuniambia karibu nikasimama palepale mlangoni mpk kesho yake nikageuza nikaondoka.
3) Zuzu: Tangu nimuoe mke wangu hajaniita mpenzi, nimegoma kulala naye hadi leo ni miaka 6.
Wenzake wakamwambia: Wee muongo, mbona una watoto wawili?
Zuzu akajibu: mpaka leo sijamuuliza watoto ni wanani? NIMEUCHUNA
No comments:
Post a Comment