Friday, August 24, 2012

JIAMINI NA LUGHA YAKO

Jamaa mmoja alikuwa amekaa na mzungu kwanye banda la mihogo ya kukaanga wakiwa wanakula 

ghafla jamaa muhogo ukamkwama na maji anayo yule mzungu 

weeee!! jamaa akaanza 

''ZE.. ZEE.. CASAVA IZ STANDING AT ZEKOLOMELO WATER PLZ!!! 


mdhungu akamuangalia kisha akamwambia

''UTAKUFA MDOGO WANGU WE SEMA TUU NINI SHIDA ???


No comments:

Post a Comment