MWALIMU: Ukiwa unatoka Arusha ukipita MLANDIZI kituo kinachofuata kinaitwaje?
MWANAFUNZI: Kituo kinachofuata kitakuwa kinaitwa MLAEMBE.
=======================================================
MTOTO: Mama nimemwomba baba hela ya kusuka akaninyoa nywele!
MAMA: Una bahati mwanangu ungemwomba hela ya Whitedent angekung'oa meno!
======================================================
Ticha: Ni vitu gani unapaswa kuandaa ukitaka kupanda Mlima Kilimanjaro?
Denti: Kwanza ununue mbegu za mlima wenyewe na pia inabidi uwe na trekta la kuandaa shamba mapema.
=============================================================
No comments:
Post a Comment