Wednesday, August 1, 2012

MAMBO YA MAOMBI

Kwenye maombi KANISANI...

MDADA (Lara): E Bwana nisaidie nipate mume lakini ,vunja vunja nguvu zote zitakazosababisha nipate mume mfupi, tengua mipango yote ya kuniletea mume mfupi....



Jirani kulikuwa na bwana mfupi sana nae anaomba hivi..

SHOTI (George): E Bwana asante kwa kunifanya bilionea asante sana Bwana sasa naomba mke, naomba mwenza wa kutumia nae mali uliyonipa



kusikia vile

MDADA(Lara): Bwana naona umesikia ombi langu, nisamehe kwa kujidai nachagua hata huyu jirani atanifaa tu.


No comments:

Post a Comment