Jamaa mmoja alikua kwa demu wake wa nje usiku. siku hiyo kwa bahati mabaya majambazi wakavamia kwa huyo mwanamke. kwa woga na kuokoa maisha yake akakurupuka na kutoka spidi hadi nyumabni kwake.
alipofika kwake akihema na kutweta.. mkewe akamuuliza
MKE: eeeh vipi mume wangu umekuja uchi na spidi na mna hiyo kuna nini uko??
JAMAA: aah nilivamiwa na vibaka wameniibia kila kitu lakini nimeweza kuwatoroka ndio nimekimbia
MKE: lakini mbona uimevaa kondom imekuaje??
JAMAA: aaah baada ya kuona niko uchi ikabidi nitafute hata jinsi ya kujisitiri kidogo.....
No comments:
Post a Comment