Tuesday, August 14, 2012

MMASAI NA BIASHARA

Mmasai alikua anauza matunda, maembe. akaja mnunuzi

Mnunuzi: habari? unauzaje maembe?

Mmsai: salama. nausa mia tatu (300) moja

Muuzaji: (akayaesabu yapo kumi) akasema niuzie yote!

Mmasai: (akastuka) Yeroo!.. nikiusia wewe yote mi tabaki nausa nini?? hebu nenda kule

No comments:

Post a Comment