Jamaa mmoja kalala na mkewe..mara akaamka akaanza kuvaa nguo.
Mkewe akamuuliza "unakwenda wapi usiku wote huu?'
Mume: Naenda kutafuta mke wa mtu.
Mke: mke wa mtu!!
Mume:ndiyo c unajua mke wa mtu sumu, kuna kapanya kanasumbua huku ndani mpaka nimeshindwa kulala!"
No comments:
Post a Comment