Wednesday, August 22, 2012

CHIZIIII

Chizi mmoja alikuwa ghorofa ya juu kabisa ya mathare hospital,akatoa uume wake na kuanza kukojoa.

Wakati anakojoa dokta wake aliyekuwa anapita chini akamuona.Chizi alipogundua ameonekana akaacha kukojoa na kukimbia ndani.

Dokta akaona huyu chizi ameshaanza kupona,akamfuata na kumuuliza,"Mbona uliicha kukojoa uliponiona?"

Chizi akajibu,"Niliogopa utavuta mkojo wangu nianguke!"


No comments:

Post a Comment