Monday, July 16, 2012

BANGI ISITISHWE

Mvuta bangi mmoja alikwenda kijiweni akiwa uchi. 


Akawauliza masela


"suti yangu imenipendeza eeh? "




Wakamjibu 


"ndiyo, ila tai ipo chini sana!"

No comments:

Post a Comment