Friday, July 6, 2012

WALEVI VITUKO


Riverside bar (dar) kulikuwa na kikao cha harusi kikiendelea huku wahusika wakionekana wako makini sana.


Pembeni kidogo alikaa mlevi mmoja akiongea na kucheka kwa sauti kubwa mpaka akawa anawakera wenye kikao mana hawasikilizani.


mwenyekiti wa kikao hicho akaenda kuzungumza nae 

MWENYEKITI:  Kijana samahani tunaomba upunguze makelele ya kucheka tuna kikao muhimu sana ..samahani lkn. 


basi baadaya dk 10 mlevi alionekana kutetemeka mpaka watu wengine wakaogopa mwenyekiti alimfuata tena na kumuuliza.. 


M/KITI: kijana vipi mbona unatetemeka kwa nguvu namna hiyo??? 


MLEVI: we si umenikataza kucheka kwa nguvu basi nimeamua kuweka VIBRATION


No comments:

Post a Comment