Monday, July 16, 2012

VIOJA MAKUMBUSHO

Ngriiii ngriiii ngriiiiii! 


Haloooo hapo ni Makumbusho ya Taifa?

OFISI:Ndio tukusaidie nini?


Kidanu:"Ok, naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipoteza wapi?"


OFISI:"Pumbavu hiyo siyo kazi yetu"


Kidanu:Sasa makumbusho mnakumbusha nini?"


OFISI:Tunahifadhi mambo ya zamani.


Kidanu :"Ahaa.....kumbe saa yangu mtakuwa nayo!" Nakuja kuichukua sasa hivi."


No comments:

Post a Comment