Monday, July 16, 2012

TOKA NJE.....

Mwalimu ;" wewe Masanja unacheka nini?"

Masanja ; "mwalimu Umekaa vibaya nimeona mapaja yako "

Mwalimu ; "huna adabu wewe toka nje nisikuone mpaka kesho"

Mwalimu ; "na wewe Wakuvwanga unacheka nini??"
Wakuvwanga ; "mwalimu nimeona kamba ya bikini yako"

Mwalimu ;"shenzi wewe toka nisikuone mpaka next week"

Mwalimu ; "na wewe Mpoki vipi??"

Mpoki ; "mwalimu nimeona tattoo yako"

Mwalimu ;"hii mitoto, toka nisikuone mpaka mwezi ujao"

Mwalimu ; "na wewe Joti unaenda wapi sasa???"

Joti; "nilichokiona mwalimu nadhani nimefukuzwa shule kabisa."


No comments:

Post a Comment