Monday, July 16, 2012

WIZI MTUPU

Simu Iliita...

MUME: Hello baby!


MKE: Hello Sweetie!


MUME: Leo nitachelewa kurudi...


MKE: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, wewe ni malaya sana.
Sijui ilikuaje nilikukubali, nakuchukia kama nini, sikupendi.


MUME: Nipo BENKI hapa.


MKE: Haaaaah, ulijuaje kama sina hela baby... Nitolee laki 1, nakupenda sana, nakuandalia maji ya kuoga Sweetie... Pls usisahau kuniletea na chipsi kuku, Mwaaaah!


MUME: Ni BENKI ya Kuchangia Damu 



MKE: Nyooooooooh!



No comments:

Post a Comment