Mwendawazimu flani wa milembe alipanda juu mti wa mwembe asubuhi sana.
akakaa mtini hadi kitu saa kumi.
njaa ikamkaba mpaka penyewe.mara...chali akadondoka chini kutoka mtini.
daktari akaja akamwuliza
"nini kimetendeka",
Mwendawazimu akajibu,
"oyo usijali sana hata mi nashangaa au ndo kusema"NIMEIVA!"?
No comments:
Post a Comment